Uchambuzi wa soko la Forex GAPE FILLING PART 1 FOREX MONEYINDUSTRY

FOREX MONEY INDUSTRY ni academy ya kiswahili ambayo tunatoa huduma za kufundusha, kutoa muongozo na kuwasaidia watu katika kufanya biashara ya Forex Tanzania. Kama kampuni lengo letu ni kusaidia watu wengi sana kupata uhuru wa kiuchumi. Karibu @fx_moneyindustry page yetu ya instagram, na www.forexmoneyindustry.co.tz